Category: Habari Mpya
Gavana Bwanku atembelea kujionea uwekezaji mkubwa bilioni 20 wa Rais Samia kwenye bandari ya Kemondo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Washuhudia Wataalamu wakubwa, mitambo mikubwa na wafanyakazi wakiwa site. Bandari ya Kemondo kufungua uchumi mzima wa mkoa. Bandari ya Kemondo iliyopo kwenye Tarafa ya Katerero wilayani Bukoba- Kagera ni moja ya Bandari kubwa 10 Tanzania…
Ostadh adaiwa kulawiti watoto 15, Mafia
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Mafia Mkuu wa Wilaya ya Mafia, mkoani Pwani, Aziza Mangosongo , amethibitisha kukamatwa kwa Ostadh wa madrasa anaedaiwa kulawiti watoto zaidi ya kumi ambapo pia zipo kesi nyingine zinaendelea kuchunguzwa. Aidha amesema, licha ya serikali kupambana kupiga…
Dk Biteko azindua kituo cha kupoza umeme Ifakara
📌 Kuimarisha upatikanaji umeme Kilombero, Ulanga na Malinyi 📌 Kuchochea viwanda vya uongezaji thamani Mazao, Madini 📌 Asema Serikali inachukulia kwa uzito mkubwa suala la upatikanaji wa Nishati 📌 Asisitiza Umeme si anasa, ni jambo la lazima 📌 Aishukuru EU…
Bunge lapitisha bajeti Wizara ya Ujenzi kwa asilimia 100
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na ukamilishaji viwanja…
Mwonekano kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Ifakara
Muonekano wa Kituo cha kupokea Kupoza na kusambaza Umeme kilichohengwa wilayani Kilombero Ifakara kinatarajiwa kuzinduliwa kesho, Mei 31 na Dkt. Doto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati pamoja na Christine Grau, Balozi wa Umoja wa Ulaya. Kituo…
Wizara ya Maliasili na Utalii yapongezwa kwa onesho maalum la kutangaza vivutio vya utalii
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dodoma Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuandaa Maonesho maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii yenye lengo la kuelimisha wabunge kuhusu masuala ya uhifadhi…