Category: Habari Mpya
Wizara ya Ardhi ya kuja na maboresho ya Sera ya Ardhi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi iko katika maboresho ya Sera ya Ardhi ili kuwa na sera itakayoleta suluhu kwenye changamoto za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa Taifa. Hayo yamebainishwa Septemba…
Tanzania kupokea ndege kubwa ya Masafa ya kati kesho
Na Wilson Malima Dar es Salaam. Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181…
Migodi midogo Geita kuunganishwa umeme wa REA
Na Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) tayari ameanza kazi ya kuunganisha umeme kwenye migodi midogo midogo wilayani Geita, ili kuwapunguzia gharama za…
Serikali kufungua shamba la miwa Muhukuru, Ruvuma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama (MB) wa Peramiho amesema Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Songea imedhamiria kufungua shamba kubwa la miwa na kiwanda cha…