JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ukarabati uwanja wa Benjamini Mkapa washika kasi kuelekea ufunguzi michuano ya AFL

Na Eleuteri Mangi WUSM, Dar es Salaam Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ameridhishwa na kasi ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa utakaotumika kwenye ufunguzi wa Michuano ya African Football League (AFL) Oktoba 20, 2023 jijini…

ATCL kuwa na ndege zake mpya 16 – Prof. Mbarawa

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Dar WAZIRI wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amebainisha kuwa, Tanzania kupitia shirika lake la ndege (ATCL) linaenda kuwa na ndege zake mpya 16. Prof. Mbarawa ameyasema hayo mapema jana Oktoba 2,2023, wakati wa kutangaza hafla ya…

Rais Samia ashiriki uzinduzi, maonyesho ya mboga na matunda Qatar

Na mwandishi wetu Jamhuri Media , Doha Qatar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Mboga na Matunda (Doha International Horticulture Expo 2023). Maonesho hayo yanatoa fursa kwa wafanyabiashara…

Mhagama afurahishwa ubora wa shamba la kahawa la Aviv Tanzania Limitd Ruvuma

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Magama  amesema kuwa nchi inahitaji uwekezaji zaidi wa mashamba makubwa ili kufungua fursa ya ajira kupitia kilimo kama ilivyokuwa kwa shamba kubwa la kahawa…