JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Majaliwa atatua mgogoro wa ardhi Jiji la Mwanza

*Aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa…

Mgonjwa mwenye jinsia mbili atolewa jinsia ya kike Hopitali ya Temeke

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imefanikiwa kufanya upasuaji wa kutoa viungo vya uzazi vya kike kutoka kwenye korodani ya mgonjwa wa jinsia mbili mwenye muonekano wa jinsia ya kiume. Upasuaji huo ulifaywa na jopo…

Watumishi madini watembelea mgodi wa North Mara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mara Kundi lingine la Watumishi wapatao 14 kutoka kada mbalimbali za Wizara ya Madini ikihusisha Makatibu Mahususi, Watunza Kumbukumbu na Wahudumu wametembelea Mgodi wa North Mara uliopo Mkoani Mara. Ziara hiyo ni sehemu ya mwendelezo wa…

Serikali yasitisha shughuli za wananchi eneo la mto Maleta Kisiwa cha Chole, Mafia

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Mafia SERIKALI imeagiza mara moja kusitishwa kwa shughuli za wananchi katika eneo la mto Maleta, kwa kuwa ni eneo la Uhifadhi wa bahari na ni chanzo cha maji na mazalia ya samaki pia ni sehemu ambapo mto…

Kapinga: TANESCO boresheni mfumo wa utoaji huduma kwa wateja kupunguza malalamiko

Na Zuena Msuya, JamhuriMedia, Dar Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuboresha mfumo wa utoaji huduma kwa wateja ili kupunguza malalamiko na kuwapatia wananchi hao huduma ya umeme kwa wakati.  Mhe. Kapinga ametoa…