Category: Habari Mpya
Waziri Silaa atoa siku saba kumaliza kero ya urasimishaji Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maedeleo ya Makazi Jerry Silaa ametoa siku saba kupatikana suluhu ya changamoto za urasimishaji makazi holela wa makazi katika Mkoa wa Dar es Salaam. Agizo la Waziri Silaa linafuatia Mkoa wa…
Uboreshaji vifaa tiba Kituo cha Afya Likombe Mtwara wapunguza rufaa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, MtwaraZaidi ya Sh. Milionin361.5 zilizotumika kufanya maboresho ya kuweka vifaa tiba mbalimbali katika Kituo cha Afya Likombe kilichopo Halmashauri ya Mtwara-Mikindani zimesaidia kupunguza idadi ya rufaa zinazotolewa kwenda Hospitali ya Mkoa wa Ligula. Rufaa hizo zilizopungua kwa…
Shirika la Elimu Kibaha laanza kutoa mafunzo kwa vyuo vingine mkoani Pwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Shirika la Elimu Kibaha (KEC) limepokea wanafunzi wapya 46 kutoka katika Chuo cha Biashara Kibaha (KIB) kwa ajili ya kuwapatia mafunzo ya kozi za muda mfupi wa miezi miwili. Katika kipindi cha miezi miwili Chuo…
RRH zashauriwa kufanya maboresho kama Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya wameshauriwa kuiga mfano wa maboresho yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa lengo la kuboresha hospitali hizo zaidi ya ilivyo…
Prof. Mhando ang’atuka ZIFF, mikoba yake akabidhiwa mtoto wa Prof. Shivji
Na Andrew Chale, JamhuriMedia, DarTAMASHA la Kimataifa la Filamu la Zanzibar [ZIFF]mapema leo Oktoba 3,2023 limemtambulisha rasmi mwongoza filamu Amil Shivji kuwa Mkurugenzi mpya wa tamasha hilo, ambalo ni miongoni mwa matamasha kongwe Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, likiwa na…