Category: Habari Mpya
Serikali yaahidi kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji sekta ya nishati kuchochea uchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dtk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itahakikisha inaweka mazingira mazuri zaidi ya uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati ili kuchochea maendeleo ya uchumi nchini. Waziri Biteko ameyasema hayo,…
RC Chalamila apokea msaada wa vifaa tiba toka Shirika la Dkt International
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 4, 2023 amepokea vifaa tiba toka Shirika la DKT international ambavyo amevielekeza katika Wilaya ya Kigamboni na Ubungo Jijini Dar es Salaam. Akipokea msaada…
Waziri Silaa ataka mpango uendelezaji eneo la viwanda Kibaha
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameta kuwepo mpango wa uendelezaji katika eneo la Kongani ya Viwanda (Industrial Park) lililopo Kibaha vijijini mkoa wa Pwani. Silaa ametoa kauli hiyo tarehe 4 Oktoba…
NMB yatoa milioni 20 kupiga jeki shule tatu za Wilaya ya Ilala
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Ikiwa ni sehemu ya dhamira yake ya kusaidia maendeleo ya sekta elimu nchini, Benki ya NMB imekabidhi madawati na meza yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule tatu za wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es Salaam…
Serikali yaweka mkalati kuboresha uwekezsji sekta ya madini
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia Dodoma Wizara ya Madini imeweka Mipango ya kuhakikisha Sekta Madini inafungamanishwa na mipango ya taifa ili kuwa na Matumizi yenye tija katika rasilimali za nchi hususan katika Sekta ya Madini. Hayo yameelezwa leo Oktoba 4, 2023 na…
Sekta ya madini kufungamanishwa na mipango ya Taifa uwekezezaji
Mazingira ya Uwekezaji Sekta ya Madini kuboreshwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Imeelezwa kuwa, Wizara ya Madini imeweka Mipango ya kuhakikisha Sekta Madini inafungamanishwa na mipango ya taifa ili kuwa na Matumizi yenye tija katika rasilimali za nchi hususan katika…