JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wakuu wa vitengo na wasimamizi wa wodi Muhimbili wapigwa msasa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na wataalamu kutoka Epvate & Fortune International Consultant Ltd wameendesha mafunzo kazi ya siku mbili kwa Wakuu wa Vitengo na Wasimamizi wa Wodi kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kazi…

Mpanju awataka wataalam ngazi ya kata kutekeleza maendeleo ngazi ya msingi kwa wakati

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma NAIBU Katibu Mkuu,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na makundi maalum Wakili Amon Mpanju amewataka Viongozi wataalamu ngazi ya kata kuhakikisha wanaweka mpango kazi unaopimika wa utekelezaji maendeleo ngazi ya masingi kwenye maeneo yao ili kuakisi maudhui ya…

Naibu Waziri Nishati awahimiza wananchi kutumia nishati mbadala Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amewahimiza wananchi kuona umuhimu wa kutumia nishati mbadala na amewataka kuacha kutumia nishati ambazo si rafiki kwa mazingira kwa lengo la kutunza mazingira kwa ajili ya vizazi vya sasa…

TASAC yapata mafanikio makubwa kutoka bil.9.1/- hadi bil. 43.4/- kutokana na usikivu wa Serikali

Usikivu wa Serikali umeiwezesha TASAC kuongeza gawio kutoka bil.9.1 hadi bil.43.4 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limesema usikivu wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu…

CBE yasisitiza kuzingatia huduma bora kwa wateja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka walimu na wafanyakazi wa chuo hicho kuboresha huduma kwa wateja na kujiandaa kutoa mafunzo kidijitali ili kuendana na ongezeko kubwa la wanafunzi linalokua mwaka hadi mwaka. Hayo yalisemwa…

Waziri Mavunde ainadi Visioni 2030 kwa Taasisi za fedha, wadau

Zaeleza ziko tayari kushirikiana na Serikali, Wachimbaji Dkt. Mwasse Azitoa Hofu Taasisi za Fedha , Aeleza namna STAMICO ilivyosimama Kati Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia Waziri wa Madini Anthony Mavunde ameichambua Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri na kuinadi kwa…