JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Chongolo: Mawaziri watatu kuhusika fidia mradi wa umeme Tabora – Katavi

,Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema atakutana na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wizara ya Nishati na Wizara ya Fedha, kwa ajili ya kutatua changamoto ya malipo ya fidia ya…

Hospitali Kuu ya Jeshi la Polisi yatoa huduma za kibingwa kwa wenye changamoto ya macho

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi Dar es Salaam Jeshi la Polisi nchini kupitia Kikosi cha Afya na Hospitali ya CCBRT imetoa huduma za kibingwa kwa wananchi na Askari wa Jeshi la hilo wenye changamoto ya macho na mtoto wa…

Naibu Waziri Kapinga : Rais Samia ameibeba kwa dhati ajenda ya matumizi nishati mbadala

Na Waandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea Naibu Waziri wa Nishati, udith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameibeba kwa dhati ajenda ya matumizi ya nishati mbadala kutokana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi….

Rais Mwinyi: Utalii ni kipaombele cha kwanza kwenye mnyororo sekta ya uchumi wa buluu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema utalii ni kipaombele chake cha kwanza kwenye mnyororo wa sekta za Uchumi wa Buluu kutokana na kuchangia asilimia 30 ya pato la taifa mbali ya sekta nyengine za maendeleo….

Prof.Janabi : Wekeni utaratibu mzuri wa kula na kufanya mazoezi ili kupunguza vifo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi ameishauri jamii kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza kwa kuweka utaratibu mzuri wa kula na kufanya mazoezi mara kwa mara kwa kuwa magonjwa hayo yamekuwa tishio ambapo yanachangia idadi…

Nchi za Afrika zatakiwa kushirikiana kukabiliana na changamoto za ongezeko la idadi ya watu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Algiers Wakuu wa nchi za kiafrika za kiafrika wametakiwa kuweka msukumo wa pamoja ili kukabiliana na changamoto zinazotokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu Barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu wa Algeria Aymen Ben…