Category: Habari Mpya
Dk Biteko azuru kaburi la hayati Rais Magufuli
Leo Oktoba 7, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezuru na kufanya Sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita
Hospitali ya Tanga Jiji yapokea vifaa tiba vyenye thamani ya mil.250/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Uongozi wa Hospital ya Tanga jiji umeishukuru serikali kupitia MSD kwa kuendelea kuwapatia dawa na vifaa tiba kwa wakati jambo ambalo limeongeza tija katika utoaji huduma za afya kwenye hospitali hiyo. Akizumgumza mara baada ya…
Chongolo ‘ aweka mguu chini’ kuukwamua mradi wa umwagiliaji uliokwama miaka 16 Katavi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo leo Ijumaa Oktoba 6, 2023 amekagua Skimu ya Umwagiliaji ya Ugalla katika Kijiji cha Katambike, wilayani Mpanda, ili kuuwekea mpango wa kuukwamua, baada ya mradi huo…
NSSF wakabidhi msaada wa mashuka Hospitali ya Mkoa Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, Jamhurimedia, Songea MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Ruvuma, umekabidhi mashuka katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (HOMSO) yenye thamani ya zaidi ya sh.milioni 1.5 ili kuwasaidia Watanzania na wadau wa mfuko huo…
Mipango ya kupima viwanja iendane na miundombinu – Waziri Silaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewaelekeza wataalamu wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha mipango yote ya kupima viwanja inaendane na miundombinu ya maeneo husika. Silaa ametoa maagizo hayo Oktoba 6,…
Kampuni binafsi za upimaji ardhi kikaangoni
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kampuni zote zilizopewa kazi za upimaji wa viwanja kwenye Jiji la Dodoma na zimeshindwa kukamilisha kazi hiyo, ziwe zilikuwa na mikataba ama hazikuwa na mikataba zichukuliwe hatua kali za kisheria kutokana na…