Category: Habari Mpya
Wafanyakazi JKCI waunga mkono juhudi za Rais Samia za kutangaza utalii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamefanya utalii wa ndani wa kutembelea msitu wa mazingira asilia Pugu Kazimzumbwi uliopo Kisarawe mkoani Pwani. Akizungumzia kuhusu utalii huo Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Dkt. Peter Kisenge alisema…
Prof.Janabi: Mchango wa Serikali utoaji huduma za figo ni mkubwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeweka mchango mkubwa katika utoaji huduma za matibabu kwa wagonjwa wa figo katika ngazi mbalimbali nchini kuanzia kwenye kusomesha watalaamu, miundombinu na mashine za usafishaji damu hadi upandikizaji. Hayo yamesemwa leo na…
Tanzania, India kukuza uhusiano kutoka wa kihistoria mpaka kimkakati
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania na India zimekubaliana kuinua uhusiano wa kihistoria kati ya mataifa hayo mawili hadi kiwango cha Ushirikiano wa Mkakati. Rais Samia ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya siku tatu nchini India ambapo amesema…
Halmashauri Tarime Vijijini ilivyotekeleza miradi mbalimbali pesa za CSR, mapato ya ndani
Na Mwandishi Wetu,Tarime Halmashauri ya Tarime Vijijini imepokea jumla ya shilingi Bilioni 7.374,230,582 kwa ajili ya utakelezaji wa miradi mbalimbali ya jamii katika vijijini vilivyopo ndani ya Halmashauri hiyo. Pesa za CSR ni pesa za utekelezaji huduma kwa jamii zinazotolewa…
Yajue matokeo ya awali ya sensa 2022 na maana ya sensa
Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonyesha kuwa ,idadi ya watu chini imeongezeka kutoka milioni 44,928,923 watu waliohesabiwa mwaka 2012 hadi kufikia watu milioni 61,741,120 kwa mwaka 2022 sawa na wastani…