Category: Habari Mpya
Muhimbili yapokea msaada wa viti mwendo 21 vya mil. 5.7/-
Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa viti mwendo 21 vyenye thamani ya TZS. 5.7Mil kutoka kampuni ya Stufit Afrika PVT. Ltd kwa lengo la kusaidia wagonjwa mbalimbali wanaokuja hospitalini hapo. Akipokea msaada huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa…
Watoto 45 kufanyiwa upasuaji wa moyo JKCI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watoto 45 wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo yakiwemo matundu kwenye moyo, na matatizo ya mishipa ya damu kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalum inayofanywa na wataalamu wa afya wa Taasisi…
Serikali kukamilisha uwashaji umeme vijiji vilivyobaki Desemba mwaka huu
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Ruvuma Serikali kupitia Wakala wa Umeme Vijijini (REA), ina mpango kabambe wa kuhakikisha huduma ya umeme inawafikia wananchi ambao wamekuwa na uhitaji wa umeme kwa muda mrefu hivyo katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma ambako kuna…
Tanzania yaiahidi Uganda kuendeleza ushirikiano miradi ya kimkakati
#Dkt. Biteko awasilisha salamu za Rais Samia miaka 61 ya Uhuru wa Uganda Na Neema Mbuja, JamhuriMedia, Kampala Serikali ya Tanzania imeahidi kuendeleza Ushirikiano, Umoja na Mshikamano na nchi ya Uganda kwa manufaa ya nchi zote mbili. Hayo yameelezwa na…
Chongolo aweka wazi neema ya kumaliza kero ya usafiri ziwa Tanganyika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo ameeleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa na Serikali, kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 – 2025, kwa vitendo, kuboresha huduma za uchukuzi, usafiri na usafirishaji…
Silaa ataka maeneo ya huduma kupimwa na kupatiwa hati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka wakurugenzi wa halmasahauri nchini kuhakikisha maeneo yote ya huduma za jamii yanapimwa kwa lengo la kulinda maeneo hayo. Waziri Silaa amesema hayo Oktoba 9,…