JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Mhagama, azindua muongozo wa uwekezaji Manyara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa…

EWURA yatoa onyo kwa wamiliki wa vituo vya mafuta, yavifungia vituo tisa vya mafuta

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia vituo viwili vya mafuta kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kuhodhi mafuta ili kujipatia maslahi haramu ya biashara ikiwemo faida…

Kituo cha umahiri afya ya akili kujengwa Vikuruti

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) itajenga kituo cha umahiri cha kutoa huduma za utengamao kwa wagonjwa wa Afya ya Akili huko Kijiji cha Vikuruti kikichopo Kata ya Chamazi- Manispaa ya Temeke. Hayo yamesemwa leo Oktoba 19, 2023 na Mkurugenzi Mtendaji…

Msigwa asisitiza ubunifu na ulinzi wa maadili ya Mtanzania

 Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa, amekutana na watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni na Sanaa ambapo amewasisitiza watumishi hao wawe wabunifu na wachukue hatua kulinda maadili ya Mtanzania.  Katibu…

Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuzindua mradi wa kitaifa wa Maadili na Uzalendo

Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) inatarajia kuzindua mradi wa Kitaifa wa Maadili na Uzalendo Oktoba 14, 2023 katika kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mkoani Manyara unaolenga kuzuia mmomonyoko wa maadili. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa…

Muhimbili yapokea msaada wa viti mwendo 21 vya mil. 5.7/-

Hospitali ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa viti mwendo 21 vyenye thamani ya TZS. 5.7Mil kutoka kampuni ya Stufit Afrika PVT. Ltd kwa lengo la kusaidia wagonjwa mbalimbali wanaokuja hospitalini hapo. Akipokea msaada huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa…