JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

RC Tabora awashauri wakulima kuchangamkia kilimo cha kisasa

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Wakulima nchini wametakiwa kuzingatia kanuni za kilimo bora na kufuata maelekezo ya wataalamu ili kuwa na kilimo chenye tija. Ushauri huo umetolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt Batilda Burian alipokuwa akifungua…

Dk Biteko ampongeza Ridhiwani kufikia utekelezaji wa ilani asilimia 96 Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ,Dotto Biteko, ametoa rai kwa wana-CCM kufanya siasa za kubadilisha maisha ya Watanzania katika kuwaletea maendeleo badala ya kufanya siasa za maneno matupu zisizojibu hoja. Aidha amewaasa watumishi…

Benki ya NMB tayari kutoa mikopo kidigitali kwa watumishi wa umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha BENKI ya NMB PLC imebainisha mipango yake ya kuanzisha mfumo wa uthibitishwaji wa maombi ya mikopo kwa njia ya kidigitali kwa wafanyakazi wa umma maarufu kama mchakato wa “E-Mkopo”. Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Benki ya…

ACT Wazalendo walia ukatili kwa mtoto wa kike

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa Serikali na vyombo vyake vya dola kupunguza muda wa uendeshaji wa kesi za ukatili dhidi ya watoto na wanawake. Chama hicho kimependekeza muda wa uendeshwaji wa…

Wilaya za Songwe kuunganishwa kwa lami

*Mhandisi Kasekenya aeleza mikakati kukabiliana na athari za mvua kubwa Vwawa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Songwe, moja ya mikoa ya kimkakati nchini, imedhamiria kuziunganisha wilaya zake nne kwa mtandao wa barabara za lami. Mkoa huo unaoiunganisha Tanzania na nchi…

Wizara ya Afya yasaini makubaliano ya ushirikiano na taasisi za afya nchini India

New Delhi, India Wizara ya Afya Tanzania na Taasisi za Afya nchini India zimeingia makubaliano ya ushirikiano ya kuboresha huduma za afya na uzalishaji wa bidhaa za afya nchini Tanzania. Shughuli ya kusaini hati za makubaliano hayo imeshuhudiwa na Rais…