JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Idadi ya watu wazima wanaojua kusoma na kuandika yapungua nchini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia Idadi ya watu wazima wanaojua kusoma, kuandika na kuhesabu nchini imepungua kutoka asilimia 80 ya mwaka 1961 hadi kufikia asilimia 77 . Hali hii imesababisha Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuanzisha program mbalimbali kuwawezesha kundi…

Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Oktoba 12, 2023 imemhukumu kifungo cha maisha gerezani, Seleman Mjema (50), mkulima na mkazi wa Mikungani wilayani Arumeru baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri…

TRA yafafanua madai ya mfanyabiashara Emmanuel Gadi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haina mfumo wowote mwingine inaouendesha wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo wa Forodha wa TANCIS ambao unatumika kwa mujibu wa Sheria ya Forodha ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es…

RC Chalamila atoa siku 14 mabasi mabovu 70 ya mwendokasi kutengenezwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa maagizo hayo leo Oktoba 12, 2023 kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) alipotembelea kuona ufanisi wa mabasi hayo katika kutoa huduma kwa wakazi wa Dar…

GBT yatatua kero ya maji Shule ya Wavulana Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Bodi ya Michezo ya kubahatisha Tanzania GBT imekabidhi mradi wa Maji wenye thamani ya Shilingi 64,656,520 kwa uongozi wa Shirika la Elimu Kibaha unaolenga kutatua changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa maji iliyokuwa ikiwakabili…