JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mwenyekiti Wazazi CCM Morogoro ataka miradi ya kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha wanaanzisha miradi ya kiuchumi ya Jumuiya. Dk. Rose amesema kila Wilaya ihakikishe inakuwa na nyumba za…

RC Mndeme: Marufuku kuchati mnapowahudumia wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amepiga marufuku tabia ya baadhi ya maofisa watendaji wa vijiji, mitaa na kata kuchati na simu wakati wakiwahudumia wananchi katika ofisi zao. Mndeme ametoa tamko hilo juzi wakati…

MSD yafanya maboresho makubwa sekta ya afya Singida, yatoa vifaa tiba, dawa

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, SingidaBOHARI ya Dawa (MSD) imetoa vifaa tiba na dawa zenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 532.4 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, Hospitali ya Wilaya ya Singida, Hospitali ya Wilaya ya Iramba, Hosptali…

Zingatieni usalama wa afya ya macho mahala pa kazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waajiri na waajiriwa wametakiwa kuzingatia kuwa mahali pa kazi panakuwa salama kwa afya ya macho wakati wote ili kuleta ufanisi mzuri katika kazi zao. Wito huo umetolewa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Uuguzi na…

Biteko : Serikali kufikisha umeme kila kitongoji kabla ya 2025

Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai,akizungumza wakati wa tukio la kuwasha kwa  umeme kwenye Kijiji cha Ndalibo, Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa sambamba na kuzindua kisima cha maji ambacho kitakuwa kikitumia umeme kwa manufaa ya wananchi wa eneo hilo….