Category: Habari Mpya
‘Elimu ya watu wazima itiliwe mkazo kukabiliana na changamoto ya watu wazima wasiojua kusoma’
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameagiza watendaji, maofisa elimu ya watu wazima kuhakikisha wanatilia mkazo suala la elimu kwa watu wazima ili kuendana na program na Mipango ya serikali kuboresha elimu…
Wanaosafirisha mifugo nje ya nchi watakiwa kuacha kununua mifugo katika minada ya awali
Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi Wafugaji na wafanyabiashara wote nchini wanaosafirisha mifugo kwenda nje ya nchi wametakiwa kuacha kununua mifugo katika minada ya awali badala yake kwenda kununua kwenye ile ya upili ili kuifanya sekta ya mifugo kuwa kubwa…
Taasisi ya Onastories wazindua mradi wa kuhifadhi tamaduni ya kimakonde kidigitali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia TAASISI isiyo ya kiserikali ya Onastories,kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa, wamezindua maonyesho ya mradi wa uhifadhi wa tamaduni ya Makonde kwa njia ya kidigitali,ambayo kuanza kuonyeshwa kwenye mitandao ya kijamii ikiwamo Instagram na facebook kupitia…
Serikali kuwajengea uwezo wakufunzi wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kuwajengea uwezo wakufunzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini yake ili waweze kuzalisha wataalamu wenye weledi na sifa stahiki katika kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu…