Category: Habari Mpya
Maji rasilimali adimu duniani inayohitaji ulinzi – RC Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema maji ni raslimali adimu Duniani inayohitaji ulinzi kama zilivyo raslimali nyingine zilizopo kwenye matishio Kanali Abbas amesema hayo kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.wakati anafunga…
Madakari bingwa mama Samia 45 wapiga kambi Pwani kutoa huduma kwa wananchi
Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia,Pwani MADAKTARI Bingwa wa mama Samia 45 wamepiga kambi Mkoani Pwani ,kwa siku tano ili kutoa huduma za afya za kibobezi kwa magonjwa mbalimbali ikiwemo ya njia ya uzazi na watoto. Aidha watatoa huduma kwa wagonjwa ya…
Wabunge waipa tano Serikali kwa kutangaza utalii na kuongeza idadi ya wageni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma¹ Baadhi ya wabunge wamepongeza juhudi za Serikali katika kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini hasa kupitia filamu ya Tanznaia the Royal Tour na amaizing Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni nchini China. Akichangia mjadala wa bajeti ya…
DAWASA yafunga mita 150 za malipo ya kabla Dar na Pwani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la ufungaji wa mita za malipo ya kabla (prepaid meters) kwenye maeneo mbalimbali hadi kufikia Mei 31,2024 jumla ya…