Category: Habari Mpya
Huduma ya kuweka puto sasa inapatikana kote MNH- Upanga & Mloganzila
Baada ya kuimarisha huduma mbalimbali ikiwemo kuweka puto Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa watu wanaopenda kupungua uzito sasa huduma hii pia imeanza kutolewa MNH-Upanga. Hayo yamezungumzwa mwishoni mwa wiki na Daktari Bingwa Mbobezi wa Upasuaji Mfumo wa Chakula, Ini na…
Simbachawane : Elimu inaongeza uwezo wa kuchambua mambo kisayansi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene amewasihi wanafunzi kusoma kwa bidii na kuacha kujidanganya kuwa elimu kwa sasa haina umuhimu kwa kuwa…
NMB yawahakikishia wafanyabiashara uimara wa kukopesha mteja mmoja zaidi ya bil. 300/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia BENKI ya NMB imewahakikishia Wafanyabiashara wakubwa Kanda ya Dar es Salaam wanaohudumiwa na taasisi hiyo, kuwa iko imara kipesa kukopesha mteja mmoja zaidi ya Sh.Bil. 300 na hii ni kutokana na kukua kwa mtaji wa benki…
Mume mbaroni kwa kumuingizia panga mke sehemu ya haja kubwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara lina mshikilia mwanaume mmoja jina limehifadhiwa (56), Muislamu na mkazi wa Kijiji cha Makong’onda Wilaya ya Masasi Kwa tuhuma za kumjeruhi mke wake Kwa kumuingizia panga sehemu ya haja kubwa….
Vijiji 6 vyasalia kuunganishwa umeme Singida
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema katika Jimbo la Singida Kaskazini Vijiji 6 vimesalia kuunganishwa na umeme kati ya vijiji 84 vya jimbo hilo. Amesema hayo wakati akisalimia wananchi katika Kijiji cha Sagara, wakati wa ziara ya Rais…
Serikali ya Rais Samia na mpango wa kubadili fikra, mitazamo na utendaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedua, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita inayooongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, imelenga kubadilisha fikra, mitazamo na utendaji wa wataalamu ngazi ya Msingi ili wananchi wawe kitovu cha maendeleo…