Category: Habari Mpya
Possi: TRC kamilisheni haraka mradi wa treni ya kisasa Dar-Moro-Dodoma
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Shirika la Reli nchini (TRC) limetakiwa kuhakikisha vipande viwili vya mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka DSM–Moro na Moro-Makutupora (Dodoma) vinakamilika haraka ili wananchi waanze kutumia treni hiyo. Agizo hilo limetolewa mwishoni mwa wiki…
Wanahabari wa Afrika watakiwa kuisaidia Afrika
Na Immaculate Makilika – MAELEZO, Misri Wanahabari wa Afrika wametakiwa kubadili mitazamo yao kuhusu fursa zilizopo Afrika ikiwa ni pamoja na kulisaidia bara hilo. Akizungumza na Wanahabari kutoka nchi za Afrika wakati akifungua Mafunzo kuhusu Utangazaji kwa nchi za Afrika…
Milioni 950 zaokolewa kwa watoto 37 kufanyiwa upasuaji Tanzania
Na Mwandishi Maalumu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeokoa kiasi cha shilingi milioni 950 ambazo Serikali ingetumia kama watoto 37 wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo wangepelekwa nje ya nchi kwa ajili ya matibabu hayo….