JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia aokoa afya za wananchi zaidi ya 8000-Sofu

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amewapunguzia mwendo wa Km.5 wananchi wa Kata ya Sofu kufuata huduma za afya kwenye maeneo mengine. Takribani milioni 200 zimekamikisha jengo la Zahanati Kata ya…

Rais Dk Samia amedhamiria kuwainua wanawake

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuwainua wanawake kiuchumi kwa kuweka msingi unaochochea mabadiliko yanayojielekeza kukua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

TFC kusambaza zaidi ya tani 75,000 za mbolea ya ruzuku kwa wakulima mchini

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora Kampuni ya Mbolea nchini (TFC) inatarajia kusambaza zaidi ya tani 75,000 za mbolea ya ruzuku iliyotolewa na serikali ya awamu ya 6 kwa wakulima zaidi ya 150,000. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Samwel…

Halmashauri zatakiwa kupima afya ya udongo ili kuwasaidia wakulima

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora HALMASHAURI za wilaya nchini kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) wametakiwa kutembelea wakulima vijijini na kuwasaidia kupima afya ya udongo ili kutambua aina ya mazao yanayofaa kulimwa katika maeneo yao. Ushauri huo…