JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wizara ya Afya yawasilisha mapendekezo ya kuanzishwa kwa Taasisi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wizara ya Afya  leo  Tarehe 17/10/2023 imewasilisha mapendekezo kuhusu azimio la kuridhia Mkataba wa kuanzishwa kwa Taasisi ya Dawa ya Afrika (Treaty for the Establishment of the African Medicines Agency AMA) kwa Kamati ya Kudumu ya…

Uchumi wa Buluu ni dhana inayochagiza ukuaji uchumi

Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inaendelea kutunga Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu na Mkakati wake wa utekelezaji kwa lengo la kuweka mfumo jumuishi wa usimamizi na uendelezaji wa rasilimali zake ili kukuza uchumi wa nchi na…

Kwa mara ya kwanza JKCI Dar Group wafanya upasuaji wa moyo

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Samweli Rweyemamu akimfanyia upasuaji wa tundu dogo kuondoa maji yaliyopo katika mfuko wa kutunza moyo mgonjwa ambaye moyo wake umejaa maji hivi karibuni…

Atakaefanya udanganyifu katika biashara faini Sh milioni 1.5

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Geita imewatahadharisha wafanyabiashara wanapotoa risiti za Mashine za Kielektoniki (EFD) kuhakikisha zinakuwa na taarifa kamili na si vinginevyo. Aidha TRA imewataka wateja wanaponunua bidhaa na kupatiwa risiti ya EFD…

Serikali yahimiza nguvu uchumi wa kidigitali kwa wanawake, vijana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia KWA kuwa wanawake na vijana ni msingi na chachu ya mabadiliko wa masuala yote ya kiuchumi na kijamii, serikali imetaka wadau wote kushirikiana kuwezesha makundi hayo kuchangamkia fursa zinazoambatana na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)….

Regina na simulizi alivyoaga umaskini, aomba andolewe TASAF

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Itilima Mnufaika wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Regina Malisa (52,) ameomba aondolewe kwenye mpango huo baada kuanzisha mradi unaomwezesha awe na uhakika wa kujiingizia kipato. Regina mkazi…