JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mambosasa afunga mafunzo ya medani awaomba wananchi kutokuokota vitu vyovyote eneo la medani

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi- Mkomazi,Tanga. Jeshi la Polisi limewaomba wananchi wa maeneo ya karibu na kambi ya Jeshi la Polisi inayoendesha mafunzo ya mbinu za medani za kivita katika eneo la Mkundimbaru Mkomazi wilayani Korogwe Mkoa wa Tanga…

Tanzania yathibitishwa kuwa mjumbe wa baraza tendaji la UNWTO

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Tanzania imethibitishwa na Mkutano Mkuu wa 25 wa Shirika la Utalii Duniani (UNWTO) kuwa Mjumbe wa Baraza Tendaji la Shirika hilo kwa kuchaguliwa bila kupingwa na nchi wanachama wa Shirika la UNWTO. Uchaguzi huo umefanyika…

Majaliwa atembelea shamba la ng’ombe wanaokamuliwa kwa roboti Italia

Na OWM, Milan Italia. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea shamba la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa la Alesandra lilipo Milan nchini Italia, ambalo linaendeshwa kwa kutumia mifumo ya kisasa ya kielektoniki ikiwemo ukamuaji wa maziwa kwa kutumia roboti. Akiwa katika…

Watumishi wa Afya wasimamishwa, wengine 26 kuchunguzwa Tanga.

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Tanga. Ujumbe wa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu umewasimamisha kazi watumishi watatu kupisha uchunguzi na wengine 26 kutoka idara mbalimbali wakiendelea kufanyiwa uchunguzi kwa kukwamisha utoaji huduma kwa wananchi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…

Serikali yatoa rai, viongozi Njombe kutunza vyanzo vya maji.

Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA, Njombe. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis amewataka wananchi kutunza vyanzo vya maji ili viwanufaishe na kuhifadhi mazingira. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi akiwa kwenye ziara ya…

Huduma ya kuvunja mawe kwenye figo ilivyowanufaisha 480 Mloganzila.

Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imehudumia zaidi ya wagonjwa 480 waliokuwa na changamoto ya mawe kwenye kwenye figo kwa kutumia mashine maalumu ya kuvunja mawe kwenye figo kwa kutumia mawimbi mtetemo ((Extracorporeal Shock…