JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wiki ya AZAKI kuboresha teknolojia nchini

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Kutokana na mabadiliko ya kidigitali kubadilisha mifumo kwa kiasi kikubwa katika jamii na pia kuwa na uwezo wa kuendelea kuleta mabadiliko mengine zaidi, wiki ya Asasi za Kiraia mwaka huu inayotarajiwa kuanza kesho jijini Arusha…

#BreakingNews:Sophia Mjema aondolewa ukatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM.

Na mwandishi Wetu Jamhuri media, Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huo Sophia Mjema alikuwa…

Uongozi na umahiri wa Prof. Janabi vyampa kukubalika kwa CEOrt

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es salaam. Umoja wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania wakiwemo wa mashirika binafsi na Serikali (CEOrt) umempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi kutokana na uongozi wake mahiri wa kuiboresha…

Rais Samia atoa salamu za rambirambi Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa…

Ajali yaua 18 Nzega

Na Allan Vicent, JamhuriuMedia, Tabora Watu 18 wamepoteza maisha na wengine 26 kujeruhiwa vibaya baada ya kutokea ajali iliyohususisha basi na lori la mafuta, ajali hiyo imetokea katika Kijiji Cha Undomo kata ya Uchama Wilayani Nzega Mkoani Tabora. Kamanda wa …

Bibi kutoka Israel ailyewatuliza wapiganaji wa Hamas kwa biskuti na chai.

Jamhuri Media, Tel Aviv Bibi mstaafu Rahel Idri alishikiliwa kwa bunduki na wapiganaji wa Hamas kwa saa 20 nyumbani kwake, lakini alitumia chakula na mazungumzo kuwavuruga hadi msaada ulipowasili. Idri alialikwa kukutana na Rais wa Marekani Joe Biden wakati wa…