JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mfumo wa kielektroniki wa kudhibiti ununuzi wa mafuta serikalini wazinduliwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,nDodoma Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Waziri…

Tanzania kujifunza utafiti, uvunaji, uendelezaji madini chini ya sakafu ya Bahari Kuu

*Yawa ya Kwanza Barani Afrika kuwa Mwenyeji Mkutano wa Wakandarasi Waliowekeza kwenye Madini Chini ya Sakafu ya Bahari KUU* Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Madini kwa mara nyingine imeweka Historia ya kuwa Nchi ya Kwanza…

Waziri Ndumbaro ashuhudia TP Mazembe ikipata alama tatu kwa Mkapa

Na Shamimu Nyaki Waziri wa Utamaduni, Sanaa na MichezoDkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo kati ya TP Mazembe ya DRC Congo dhidi ya Esperance Sportive de Tunis ya nchini Tunisia ikiwa ni mchezo wa mashindano ya African Football League ambao umemalizika…

Shule ya St Mary’s kuunganishwa na Maktaba Kuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeahidi kuiunganisha shule ya St Mary’s Mbezi Beach na Maktaba Kuu ya Taifa ili wanafunzi wa shule hiyo wapate fursa ya kusoma vitabu mbalimbali kwa namna rahisi. Ahadi hiyo ilitolewa…