JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali kuendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi wa maafa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Idara ya Menejimenti ya maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imeendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi wa masuala ya maafa nchini ili kuendelea kuwa na mikakati thabiti ya kukabiliana na maafa…

Rais Samia afanya uwekezaji mkubwa kulinda afya za Watanzania

…………………………………………………………………. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, RuvumaNaibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini…

Rais Mwinyi afungua Hospitali ya Wilaya ya Kivunge Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapindizi DK Hussein Ali Mwinyi kulia akisalimiana na Viongozi wa Chama na Serikali mara baada ya kuwasili Kivunge kwa ajili ya kufungua Hospitali ya Wilaya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini…

Waziri Silaa awasimamisha kazi watumishi 11 Mwanza, Dodoma, TAKUKURU kuwachunguza

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewasimamisha kazi watumishi 11 waliokuwa wakifanya kazi katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Dodoma kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazowakabili. Hatua hii ni utekelezaji wa maelekezo…