JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania, UN zasaini mpango kazi wa pamoja

Farida Ramadhani na Saidina Msangi, Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Umoja wa Mataifa (UN) wamesaini Mpango Kazi wa pamoja wa Mwaka 2023/24 wa ushirikiano wa maendeleo kati ya Serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa. Hati…

Dk Biteko ataka sekta ya uvuvi iwe nyenzo ya kuondoa umaskini nchini

#TAFIRI watakiwa kuwa kimbilio la wavuvi #Asisitiza utunzaji wa mazingira kupewa kipaumbele #Ahimiza kuongeza kasi kuuza bidhaa nje ya nchi #Dkt. Biteko Azindua ‘App’ kusaidia Sekta ya Uvuvi Na Mwandisbi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri…

Dk Mpango : Hakuna atakayekwamisha ujenzi wa viwanda vya dawa nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesema Serikali inatambua vita iliyopo katika ujenzi wa viwanda vya dawa lakini kwa kuwa uamuzi huo ni wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan hakuna atakayefanikiwa kuvikwamisha. Amesema kwa sasa…

Usiku wa madini waupamba mkutano wa kimataifa

Waziri wa Madini Malawi apongeza juhudi za Tanzania kuendeleza Sekta Kampuni mbalimbali Zapewa Tuzo kutambua Mchango Wao, Prof. Mruma apata Tuzo Maalum ya GeoScience Miss Tanzania 2023 awa kivutio onesho la bidhaa za vito na usonara Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia…

Chalamila atoa rai kwa viongozi wa dini kuiombea Serikali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dk Albert Chalamila, amesema Serikali inategemea maombi ya viongozi wa dini, kupitia sala na dua za viongozi wa dini na wachungaji ndipo tunapata viongozi wa Serikali…

Taasisi ya PEXPLA – Tanzania kuwawezesha wafanyabiashara kunufaika na fursa za biashara China

Na Hughes Dugilo, Hangzhou, China Mwenyekiti wa Bodi wa Taasisi inayojihusisha na kuwawezesha Wafanyabiasha ya Professional Exchange Platform, (PEXPLA – TANZANIA), Jenipha Japheth, amesema kuwa wafanyabiasha wa Tanzania wanaweza kunufaika na uwepo wa ushirikiano wa kibiashara baina ya taasisi hiyo…