JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Dk Mpango akabidhi hatimiliki za kimila Makete

Na Mwandishi Wetu, JammhuriMedia, Njombe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdori Mpango amekabithi Hati ya Hakimiliki za Kimila kwa wananchi wa Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe. Dkt. Mpango amekabidthi hati saba za mfano…

Historia yaandikwa sekta ya madini

Leo saa kumi alfajiri mtambo wa kuchoronga umeanza kazi rasmi ya utafiti wa Helium katika bonde la Rukwa. Inaaminika kwamba reserve ya Helium iliyopo mkoani Rukwa ni ya tatu kwa uwingi Duniani nyuma ya Marekani na Qatar,utafiti huu utatupa picha…

Rais Samia apeleka bil.35/- kumaliza kero ya maji Kasulu

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kasulu Kero ya maji katika Halmashauri ya Mji Kasulu imepata mwarobaini baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kupeleka zaidi ya sh bil. 35 ili kuboreshwa miundombinu ya vyanzo vya maji vilivyopo na ujenzi wa tenki kubwa…

Chongolo ampa rungu Makonda kuanza kazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Daniel Godfrey Chongolo amesema CCM iko salama na imara katika kusimamia misingi, shabaha na malengo yake, ikiwemo kuendelea kuwa daraja la kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi. Amesema…

Ripoti : Zaidi ya wanawake 40 huuawa kila mwezi nchini

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Arusha Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimezindua ripoti ya mauaji ya makusudi dhidi ya wanawake Kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ambayo inaonyesha jumla ya wanawake 2,438 wameuawa. Akizungumza na waandishi wa habari…

Makonda apokelewa na mamia ya wana -CCM, hotuba yake yakonga nyoyo za wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)- Itikadi na Uenezi Komredi Paul Makonda leo Oktoba 26,2023 amekabidhiwa rasmi ofisi na Dk Sophia Mjema ambae ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais kwenye masuala Wanawake na Makundi Maalumu…