Category: Habari Mpya
Mifugo 400 yakamatwa ikisafirishwa nje ya nchi bila kuwa na vibali
Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi limefanikiwa kukamata jumla ya mifugo 400 ambayo ilikua inasafirishwa kwenda Nje ya Nchi bila kufuata utaratibu. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi…
Dk Mpango ashauri taaasisi za fedha kuweka masharti ya upendeleo mikopo ya viwanda vidogo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Taasisi za fedha nchini kuweka masharti ya mikopo ya upendeleo kwa Viwanda vidogo na vya kati ili kukuza uzalishaji na…
Biteko afanya mazungumzo na ujumbe wa Iran
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa watu wa Iran ukiongozwa na Balozi wake nchini Tanzania, Mhe. Hossein Alvandi Bahineh tarehe 27 Oktoba, 2023 jijini Dar es Salaam. Pamoja…
Wazee watakiwa kushirikiana kutatua changamoto za mmomonyoko wa maadili
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wazee nchini kushirikiana kutatua changamoto za mmonyoko wa maadili ili kuwa jamii inayojali usawa. Aidha amevitaka vyama vinavyoshughulika na masuala ya Wazee nchini…
Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi- Dk Biteko
#Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta #Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93 Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Dalaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi…
Waziri Mavunde awaeleza wachimbaji wakumbwa, wa kati mwelekeo wa wizara
Asisitiza kuondoa vikwazo, urasimu Aweka Msisitizo Uchumi wa Madini Mkakati Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ikiwa ni Jitihada za Serikali kuendelea kuweka mazingira rafiki ya kiuwekezaji katika Sekta ya Madini nchini, Wizara ya Madini na Chemba ya migodi zimekutana Oktoba 27,…