JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Matinyi: Tunataka Watanzania wajue utekelezaji miradi kwenye Halmashauri

Na Georgina Misama – MAELEZO Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi amesema Serikali inapeleka fedha nyingi kwenye Halmashauri zake nchini kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule,…

Rais wa Ujerumani kufanya ziara Tanzania

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi nchini kuanzia tarehe 30 Oktoba hadi 01 Novemba 2023. Ziara hio mbali na kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na…

Othman atoa rai kwa jamii kuzingatia utambuzi wa ardhi kuepusha dhulma na migogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ametoa rai kwa Mamlaka pamoja na Jamii, kuzingatia Utambuzi wa Ardhi, ili kuepusha dhulma na migogoro, juu ya raslimali hiyo muhimu nchini. Mheshimiwa Othman ametoa…

Waziri Mavunde apokea changamoto za wachimbaji wadogo Itumbi

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Chunya Waziri wa Madini Anthony Mavunde apokea changamoto mbalimbali za wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Chunya mkoani Mbeya katika machimbo ya Itumbi akiwa katika ziara maalum ya kikazi. Waziri Mavunde akiambatana na Mkuu wa Wilaya…

TaSUBa kitovu cha mafunzo tasnia za sanaa na utamaduni nchini- Dk Biteko

#Amefunga tamasha la 42 la Kimataifa la Utamaduni Bagamoyo #Aipongeza Wizara kwa kutangaza utamaduni wa nchi #Sanaa iwe nyenzo kuunganisha wananchi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ni kitovu cha mafunzo katika tasnia…

Mifugo 400 yakamatwa ikisafirishwa nje ya nchi bila kuwa na vibali

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi limefanikiwa kukamata jumla ya mifugo 400 ambayo ilikua inasafirishwa kwenda Nje ya Nchi bila kufuata utaratibu. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi…