Category: Habari Mpya
Leseni mpya 1,126 kutolewa michezo ya kubahatisha
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini imepanga kutoa leseni 12,456 katika mwaka wa fedha 2024/25. Bunge limeelezwa. Akiwasilisha bungeni leo Juni 4, 2024, Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Waziri wa Fedha…
Gharama kuhamisha fedha benki, simu bado kubwa
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali kufanya mapitio ya gharama za miamala kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda mtandao au benki na kutoka benki moja kwenda benki nyingine. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Juni 4, 2024 na Makamu Mwenyekiti…
DC Tanganyika afikishwa mbele ya Baraza la Maadili
Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Katavi Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Bw. Onesmo Mpuya Buswelu tarehe 4 Juni, 2024 amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Bw. Buswelu…
Matinyi afafanua mkopo wa Korea kwa Tanzania
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametolea ufafanuzi mkopo uliotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa Serikali ya Tanzania. Amesema Tanzania imeshapata mikopo ya masharti ya nafuu kutoka EDCF ya Korea mara…
Prof. Makubi bosi mpya Benjamini Mkapa
SEOUL, KOREA: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo mkoani Dodoma. Kabla ya uteuzi huu Prof. Makubi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Prof. Makubi anachukua…
IGP Wambura: Nishani zinazotolewa zitaleta ari ya uwajibikaji
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura amesema nishani zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitaleta ari ya uwajibikaji kwa Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Jeshi la Polisi kwa kutekeleza majukumu ya ulinzi na usalama…