JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Walinda amani wa Tanzania nchini Afrika ya Kati wavishwa nishani

MKUU wa Tawi la Utumishi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti amewavisha nishani kikosi cha Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania (TANBAT6) wanaolinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Akitoa…

Serikali yatoa ufafanuzi Kampuni ya mafuta ya Tanoil

Yaeleza hatua ilizochukua kwa wafanyakazi na Kampuni zilizosababisha hasara Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imeeleza hatua stahiki zilizochukuliwa kufuatia hasara iliyojitokeza kwa Serikali kupitia Kampuni ya mafuta ya TANOIL ikiwemo hatua ya kuwasimamisha kazi wafanyakazi wanne wa TANOIL. Hatua…

Serikali yadhamiria kutokomeza malaria nchini na kuimarisha uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora SERIKALI imesema hatua ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kugawa vyandarua bure kwa wananchi imelenga kutokomeza ugonjwa wa malaria na kuimarisha uchumi. Hayo yalisemwa jana Mkoani Tabora Wilayani Igunga na Kaimu Meneja MSD kanda ya…

Matinyi-Mikoa na Halmashauri zianike mambo makubwa yanayofanywa na Serikali

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKURUGENZI wa idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ,ameielekeza mikoa na halmashauri hizo, kueleza makubwa yanayofanywa na Serikali ili kuondoa maswali kutoka kwa wananchi juu ya utekelezaji wa miradi ya…

Tanzania, Indonesia zaanza ushirikiano kwa vitendo sekta ya madini

Bandung, Indonesia. Wataalam wapatao 20 kutoka Wizara ya Madini na Taasisi zake wameanza rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo wa masuala mbalimbali ikiwemo utafiti, usalama wa makaa ya mawe pamoja na madini mengine katika Kituo cha Human Resource Development Center Geology,…