JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Silaa apania kumaliza migogoro ya ardhi Jiji la Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema Wizara yake itahakikisha kero zote za migogoro ya ardhi zinakwisha katika Jijini la Dodoma ikiwa ni hatua muhimu ya utekelezaji rasmi maagizo ya Rais Dkt….

Biteko ashiriki mazishi ya kaka wa Waziri Mkuu Majaliwa

Asisitiza Watanzania wanaupendo wa dhati kwake #Waziri Mkuu Majaliwa awashukuru Watanzania kwa kumfariji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameungana na Viongozi mbalimbali wa kitaifa na Watanzania kwa kutoa salamu za pole kwa Waziri Mkuu…

Mkuu wa operesheni Kikosi cha Usalama Barabarani atoa tahadhari wa madereva pikipiki Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MKUU wa operesheni kikosi cha usalama barabarani Tanzania ,Kamishina Msaidizi wa Polisi Nassoro Sisiwaya ametoa onyo kwa madereva pikipiki wanaopakia mishikaki ,kufanya mbwembwe barabarani na kuacha mara moja kupita katika makutano ya barabara bila kuchukua…

Serikali kupitia MSD yakabidhi vifaa tiba vya mil.900/- Ifakara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ifakara SERIKALI kupitia Bohari ya Dawa (MSD), imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya sh milioni 900 kwa Halmashauri ya Ifakara mji. Akizungumza jana Mkoani humo Mbunge wa Kilombero Abubakar Asenga, amesema ujio wa vifaa hivyo, utasaidia…