JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Taarifa za utatuzi wa changamoto za muungano kuendelea kuwasilishwa.

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema itaendelea kuwasilisha taarifa kuhusu utatuzi wa changamoto za Muungano unaofanyika kupitia vikao baina ya Serikali zote mbili. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi…

Kiwanda cha kutengeneza biskuti za bangi chanaswa kawe.

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu 423.54 za bangi iliyosindikwa maarufu kama skanka katika operesheni maalum zilizofanyika kwenye mipaka na fukwe za Bahari ya Hindi. Kilogramu 158.54…

NMB wampongeza Spika wa Bunge kwa kuteuliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ndg. Ruth…

Wanaharakati watakiwa kupambana na mfumo dume kuanzia ngazi za kaya

Na Zulfa Mfinanga, Jamhuri Media,Dar es Salaam Wanaharakati wa jinsia wametakiwa kuhakikisha kuwa elimu ya Usawa wa Kijinsia pamoja na elimu ya haki sawa inatolewa kuanzia ngazi ya familia kwa kuwashirikisha watu wote bila kubagua ili kila mmoja ndani ya…

Kapinga : REA ongezeni kasi ya kuunganisha umeme wananchi katika vijiji vyenye umeme

Ataka wasimamizi wa miradi ya REA kuongeza ufanisi Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi vijijini katika maeneo ambayo tayari yamefikiwa na miradi ya usambazaji umeme ili miradi…