Category: Habari Mpya
Profesa Mwandosya ataka Sera matumizi ya akili bandia
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es salaam. Waziri wa zamani wa Mawasiliano na Uchukuzi, Profesa Mark Mwandosya, ameishauri serikali kutunga sera ya kudhibiti matumizi ya akili bandia ili kuzuia watu kuitumia vibaya teknolojia hiyo. Prof Mwandosya ametoa ushauri huo…
Mavunde:Tanzania mbioni kuchimba madini hadimu (REE)
Na Samwel Mtuwa – Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Madini itaanza rasmi uchimbaji wa Madini Adimu yaani Rare Earth Element (REE) kupitia kampuni ya uchimbaji madini ya Mamba ijulikanayo kama Mamba Minerals Corporation Limited (MMCL) yenye ubia kati ya Serikali…
Kero ya kutembea umbali mrefu kuifuata elimu yatatuliwa Mkuranga
Na Mwamvua Mwinyi, JAMHURI MEDIA, Pwani. Serikali kwa kushirikiana na Halmashauri imetatua kero ya kutembea masafa, umbali wa km 4 kufuata elimu ya Sekondari kutoka Kijiji cha Kilimahewa kwenda Kiimbwanindi , wilayani Mkuranga Mkoani Pwani ,ambapo sasa imebaki historia. Kutokana…
Rais Samia avunja Bodi ya TCRA, ateua bosi mpya NIC
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus leo Novemba 09,…
EWURA zingatieni maslahi ya nchi katika shughuli za udhibiti wa mafuta – Dk Biteko
*Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta * Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za…
Sakata la Maria aliyehukumiwa miaka 22 kwa kukutwa na nyama ya swala lawaibua LHRC
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa hukumu ya miaka 22 jela iliyotolewa kwa Mama Maria Ngoda wa Iringa, kufuatia kosa la kukutwa na nyama ya…