Category: Habari Mpya
RUWASA yatahadharisha watumiaji maji ya mvua
Na Dotto Kwilasa,JAMHURI MEDIA,Dodoma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (RUWASA)imewashauri wananchi wanaopendelea kutumia maji ya mvua kuwa na uelewa mpana wa uvunaji, uhifadhi na matumizi sahihi wa maji hayo ili kuepuka maradhi yatokanayo na vumbi, moshi na gesi…
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma awataka wananchi kutunza mazingira na miundombinu
Na Cresensia Kapinga, Songea. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Kanali Laban Thomas amewaasa wakazi wa Vijiji vilivyo jirani na daraja la mto Mhuwesi wilayani Tunduru kuona umuhimu wa kutunza mazingira pamoja na miundo mbinu ya Daraja hilo ili liweze kupitika kwa…
Viwanda vya uchenjuaji madini huchangia Bil.3.2 kila mwezi
Na Samwel Mtuwa – Geita Imeelezwa kuwa Viwanda vya Uchenjuaji Madini Mkoani Geita vimeongeza tija katika biashara ya madini nchini ambapo kiasi cha Shilingi bilioni 3.2 hukusanywa kila mwezi kupitia vituo hivyo. Hayo yamebainishwa Novemba 12 , 2023 na Waziri…
Dkt.Biteko:Fanyenu kazi zenye matokeo chanya
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewasisitiza Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kufanya kazi kwa ushirikiano ili kazi hizo zilete matokeo chanya kwa wananchi. Ameagiza hayo hivi…
Wizara za Nishati Bara na Zanzibar zasaini makubaliano, ushirikiano sekta ya Nishati
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Wizara ya Nishati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo zimesaini hati ya makubaliano itakayopelekea kuimarisha zaidi ushirikiano…
Uhamiaji Kisarawe yakemea biashara haramu, usafirishaji na utumikishaji watoto
Na Mwamvua Mwinyi, JAMHURI MEDIA, Kisarawe Ofisa Uhamiaji Wilayani Kisarawe, Mkoani Pwani ,Mrakibu Mwandamizi Rose Mkandala amekemea tabia ya usafirishaji haramu wa watoto wadogo chini ya miaka 18 ,kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma ,na kuwafanyisha biashara ndogo ndogo ya karanga…