Category: Habari Mpya
Majaliwa aagiza vyombo vya habari kulipwa madeni, kutatua changamoto za wanahabari
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifanye uratibu wa madai ya vyombo vya habari, sambamba na kuweka mfumo endelevu wa kutatua changamoto hiyo pamoja na changamoto nyingine za wanahabari. “Taasisi zote za Serikali…
Dk Biteko akagua visima, mitambo ya kuchakata gesi asilia songosongo
✅️Aiagiza TPDC kusimamia kikamilifu wazalishaji wa Gesi Asilia ✅️REA watakiwa kupeleka umeme kisiwani humo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi…
Bodi ya TCRA yasukwa upya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Taarifa iliyotolewa leo novemba 13, 2023 na Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais…
CCM na CPV kunufaisha sekta ya uzalishaji Tanzania
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Daniel Godfrey Chongolo amesema kuwa chama hicho kinaridhishwa na urafiki na uhusiano wake na Chama cha Kikomunisti cha Viet Nam (CPV), na kipo tayari kuendeleza ushirikiano kati ya pande hizo mbili utakaoongeza…
Madaktari Muhimbili wamtoa mtoto kipande cha plastiki kwenye mapafu alichoishi nacho miezi 23
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kutoa kipande cha plastiki kwenye pafu la kushoto la mtoto mwenye umri wa miaka 11, kupitia kifaa maalumu kinachoitwa Flexible Bronchoscopy. Kifaa hicho kinatumia mpira laini wenye kamera ya uchunguzi wa mapafu…
Mawaziri wa fedha, Jinsia wa nchi za Afrika kukutana Tanzania
Na WMJJWM, Dae Es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kupitia taasisi yake ya IMF Afritac East (AFE) imeandaa Mkutano wa…