JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kiwango cha upatikanaji chakula chapaa Umasikini wa chakula ukipungua

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande amesema kwa sasa Tanzania kiwango chaupatikanaji wa chakula kimeongezeka na hali ya umaskini wa chakula imepungua. Amesema ahueni hiyo ni kutokana na mchango wa Benki ya…

Malalamiko ya wananchi Msimbati yamuondoa meneja mawasiliano TPDC, katika ziara ya Dk Biteko

📌Aagiza Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja Tanesco kuondolewa 📌Asisitiza miradi ya mafuta ya Gesi Asilia kubadilisha maisha ya wananchi Msimbati – Mtwara Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuondolewa kwa Meneja Mawasiliano wa Shirika…

CBE na DSE kuwapa wanafunzi mbinu za masoko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeingia makubaliano ya kuwapa mafunzo ya vitendo wanafunzi wake kwa kuwapa mbinu za masoko ya mitaji na ya ajira ili waweze kujiajiri na kuajirika baada ya kujitimu….

Mfanyabiashara amuomba Majaliwa kuingilia kati upatikanaji mshindi wa zabuni ya Jamhuri Pack Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tang Mfanyabiashara wa jijini Tanga, Sultan Salim, amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuingilia kati mchakato wa upatikanaji wa mshindi wa zabuni wa eneo la Jamhuri Pack ‘Forodhani’ jijini humo. Kauli hiyo imekuja baada ya mfanyabiashara huyo…

MUCOHAS wapokea msaada wa hadubini kupitia mpango wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria.

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Wizara ya Afya imepokea msaada wa vifaa vya maabara vyenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani 488,000 ili kusaidia upimaji wa vimelea vya Malaria na magonjwa mengine kwa ufanisi zaidi ikiwa…