JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wakazi wa bonde la mto Msimbazi kulipwa fidia kupisha uendelezaji wa bonde hilo

Hayo yamejiri Novemba 15, 2023 wakati Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila alipokutana na wakazi hao katika viunga vya Ofisi za Young African Ilala Jijini Dar…

Vyuo vya Afya vyatakiwa kutumia mitaala inayoendana na wakati.

Na Mwandishi Wtu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete amewataka wadau wa afya nchini ikiwemo serikali kuwekeza kwenye vyuo vya afya kwa kuangalia mitaala inayotumika na njia zinazotumika kufundishia kwani zinapaswa kuendana na…

Dkt.Mwinyi:Imarisheni mipango ya maendeleo kukuza haki za kiuchumi kwa wanawake

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Alli Mwinyi amewataka mawaziri wa fedha na jinsia kwa nchi za Afrika kuimarisha mipango ya maendeleo ili kukuza haki za kiuchumi…

Ziara ya Rais Samia Morocco na Saudi Arabia kunufaisha Sekta za Uvuvi nishati ajira na uwekezaji

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika nchi za Morocco na Saudia Arabia zimeleta manufaa na tija kubwa nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo  mifugo, nishati, ajira…

ICTC kujenga vituo nane vya TEHAMA Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Serikali inakusudia kujenga vituo nane (one-stop centres) nchini vya ubunifu wa teknolojia vitakayowezesha vijana na wananchi kwa ujumla kuvitumia kuboresha kazi zao za kibunifu. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama (ICTC), Dkt. Nkundwe Mwasaga, ameyasema…

Kiwango cha upatikanaji chakula chapaa Umasikini wa chakula ukipungua

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande amesema kwa sasa Tanzania kiwango chaupatikanaji wa chakula kimeongezeka na hali ya umaskini wa chakula imepungua. Amesema ahueni hiyo ni kutokana na mchango wa Benki ya…