Category: Habari Mpya
Benki ya Akiba yaadhimisha Siku ya Mazingira kwa kuzindua viunga vilivyoboreshwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Alhaji Jabir Shakimweri ameipongeza Benki ya Akiba kwa juhudi na jitihada zake katika kuboresha na kuhifadhi mazingira na kusistiza taasisi nyingine kuiga mfano huo . Pongezi hizo amezitoa leo Dodoma…
Gavana Bwanku akagua ujenzi bweni la wasichana sekondari Bujugo, achangia mifuko saba ya saruji
Afisa Tarafa (Gavana) wa Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera Ndugu Bwanku M Bwanku leo Jumatano Juni 05, 2024 akiambatana na Diwani wa Kata ya Bujugo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini Mhe. Privatus Mwoleka,…
Siku ya Mazingira Duniani, TAWIRI yabainisha mchango wa wadudu kwenye mazingira
Na Mwandiahi Wetu, JamhuriMedia, Dodooma Ikiwa leo tarehe 05.06.2024 ni maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambapo Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma, Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) imebainisha mchango mkubwa wa wadudu mbalimbali akiwemo nyuki katika Mazingira. Akitoa elimu…
Ifanyeni sekta ya uvuvi Afrika kuchangia pato la taifa – Dk Biteko
📌 Afungua rasmi mkutano wa wadau wa sekta ya uvuvi Afrika 📌 Ataka changamoto za uvuvi Afrika kutatuliwa 📌 Asema sekta ya uvuvi inachangia sh.trilioni 3.4 nchini 📌 Serikali kuendelea kuunga mkono sekta ya uvuvi nchini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,…
Mazingira Hifadhi ya Kitulo yachelewesha pundamilia, swala kuongezeka
SERIKALI imesema wanyamapori waliohamishiwa Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, wamechelewa kuzaliana kutokana na kubadili mazingira ya awali, lakini baada ya miili kukubaliana na mazingara hayo sasa wameanza kuzaliana. Akijibu swali bungeni leo Juni 5, 2024 kwa niaba ya Waziri wa…
Sh Bil 18 zahitajika kujenga mitaro Tabora
 Serikali imesema kiasi cha Sh bilioni 18 kinahitajika kujenga mitaro mikubwa ili kukabiliana na mafuriko katika Mji wa Tabora. Naibu Waziri Ofisi ya Rais (Tamisemi), Zainabu Katimba ametoa maelezo hayo alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti maalum, Hawa Mwaifunga…