JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Picha:Rais Samia ampokea Rais wa Romania ikulu

Rais Samia Suluhu Hassan, amempokea Rais wa Romania, Klaus Werner Iohannes, Ikulu Dar es Salaam katika ziara ya kitaifa, leo Novemba 17, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake…

TAKUKURU Ruvuma yafuatilia utekelezaji miradi 19 yenye thamani ya bil. 4.5/-

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Ruvuma (TAKUKURU), imefanikiwa kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo 19 yenye thamani ya jumla ya sh. Bilioni 4.5 ambapo mapungufu machache yalibainika ambayo yalitolewa…

Taasisi inayojihusisha na utoaji elimu ya ugonjwa wa kisukari yatoa elimu Pwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani TASISI inayojihusisha na utoaji elimu ya ugonjwa wa kisukari kwa jamii (DICOCO) imetoa elimu kwa wananchi wa Wilaya za Bagamoyo na Kisarawe mkoani Pwani kuhusu ugonjwa wa kisukari sambamba na kujiepusha na dalili za ugonjwa…

Tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa ukaa.

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka milango wazi kwa wawekezaji nchini na duniani kote kuwekeza kwenye biashara ya hewa ukaa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa “Ibara ya 6.4” ya…

Uboreshaji majaribio wa daftali la kudumu la wapiga kura kufanyikaTabora, Mara

a Mwanndishi Wetu, JamhuriMedia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kufanya zoezi la uboreshaji wa majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kata ya Ng’ambo iliyopo katika Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora na Ikoma iliyopo katika Halmashauri…

Tanzania na Norway zajadili mradi wa gesi ya LNG

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya  mazungumzo na Balozi wa Norway nchini, Tone Tinnes ambapo mazungumzo yao yalijikita katika maeneo ya ushirikiano katika Sekta…