Category: Habari Mpya
Biteko kushiriki sherehe za kumpongeza Askofu Mkuu Ruzoka
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Tabora ambapo kesho atashiriki katika Sherehe za kumpongeza Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu Paul R. Ruzoka na kumtakia matashi mema Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali…
Mahafali ya 21 Taasisi ya Uhasibu Tanzania Kampasi ya Singida yafana
Na Dotto Mwaibale, JamhuriMedia, Singida SHEREHE za Mahafali ya 21 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Kampasi ya Singida imemalizika huku idadi kubwa ya wanawake ikizidi kuongezeka mara dufu ikilinganishwa na idadi ya wanaume. Kwa mujibu wa taarifa ya taasisi…
TEF yatembelea ofisi za tatu mkoani Lindi
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limefanya ziara katika ofisi tatu za Mkoa wa Lindi, kutoa shukrani kwa ushirikiano walioupata wakati wa Mkutano Mkuu wa Saba wa jukwaa hilo uliofanyika mkoani humo. Maofisa wa jukwaa hilo walitembelea katika Ofisi ya Mkurugenzi…
Wanafunzi 3,000 CBE kunufaika elimu uhasibu na fedha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia KATIKA jitihada za kuandaa wahitimu wanaoendana na soko la ajira duniani, Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanzisha ushirikiano na kampuni ya RSM Eastern Africa ili kuwajengea uwezo wanafunzi wake katika eneo la uhasibu na elimu…
Rais Samia ateua mabosi wa bodi hizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa venyeviti wa bodi mbalimbali Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais ikulu leo Novemba 18, 2023 imeeleza kuwa; Rais Samia amemteua Mwamini Juma Malemi kuwa Mwenyekiti…
Tanzania,Romania kuimarisha ushirikiano, zatia saini makubaliano maeneo haya
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Tanzania na Romania zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati ikiwemo afya, kilimo, elimu, mazingira na madini. Pia zimetia saini hati za makubaliano kushirikiana kwa pamoja kukabiliana na maafa na misaada ya…