JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Muhimbili, Kairuki wasaini mkataba kuongeza wigo upatikanaji dawa zenye ubora sokoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo imesaini mkataba wa makubaliano na Kiwanda cha Dawa cha Kairuki (KPTL) kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa dawa Muhimbili Upanga na Mloganzila . Mkataba huo umehusisha maeneo…

Milioni 344 zamaliza kero ya maji vijiji viwili Songe

Na Muhidin Amri, JamhuriMedia, Songwe ZAIDI ya watu 6,000 wa vijiji vya Ilasilo na Kongatete Halmashauri ya wilaya Songwe mkoani Songwe, wanatarajia kuondokana na changamoto ya huduma ya maji safi na salama. Ni baada ya wakala wa maji na usafi…

Wakazi Tabora, Mara watakiwa kujitokeza kwenye majaribio ya uboreshaji taarifa za wapiga kura

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora TUME ya Taifa ya uchaguzi imewataka wakazi wa Mikoa ya Tabora na Mara kujitokeza kwa wingi kwenye majaribio ya uboreshwaji taarifa za wapiga kura kwenye mfumo ili kufanikisha zoezi hilo kwa asilimia 100. Wito huo…

Rais Samia atimiza ahadi, wachimbaji wadogo wapatiwa maeneo ya uchimbaji Singida

Wachimbaji wadogo wa eneo la uchimbaji wa madini la Sekenke,Wilaya ya Iramba Mkoani Singida leo wamepatiwa Leseni za uchimbaji na uchenjuaji wa Madini. Zoezi la kukabidhi Leseni hizo limefanya na Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde leo katika eneo la…

Biteko kushiriki sherehe za kumpongeza Askofu Mkuu Ruzoka

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Tabora ambapo kesho atashiriki katika Sherehe za kumpongeza Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu Paul  R. Ruzoka na kumtakia matashi mema Askofu Mkuu Mpya wa Tabora,  Mwadhama Protase Kardinali…