Category: Habari Mpya
Wadau wa afya watakiwa kukomesha tatizo la usugu wa vimelea vya dawa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma WADAU wa afya nchini wametakiwa kuendeleza mapambano dhidi ya tatizo la usugu wa vimelea vya dawa kwa kuongeza uelewa kwenye jamii na kutia hamasa kuhusu usugu wa dawa za binadamu ambao unatishia afya za binadamu duniani…
Watumishi UDOM waaswa kulinda maadili ya utumishi wa umma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Watumishi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wameaswa kufuata na kuziishi Kanuni na Maadili ya Utumishi wa Umma ili kuwa na Utumishi wa Umma wenye ufanisi na wa kuheshimika. Hayo yamesemwa leo 20 Novemba 2023 na mwakilishi…
Somo la Kiingereza kuanza kufundishwa kuanzia darasa la kwanza ifikapo 2024
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze UTEKELEZAJI wa kufundisha somo la kiingereza (English)kuanzia darasa la kwanza kufuatia mabadiliko ya mtaala wa elimu ya Msingi 2023 utaanza rasmi January mwaka 2024 . Utekelezaji huo ni hatua itakayomuandaa mwanafunzi kujiimarisha kwenye matamshi na…
Simbachawaane : Rushwa ndogondogo zinawakera sana wananchi
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene,akizugumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) unaofanyika kwa siku tatu jijini…
TPA: Tunajenga matanki yetu ya mafuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania-TPA, inakusudia kujenga matanki yake kwa ajili ya kuhifadhi nishati ya mafuta ili kuondoa ucheleweshaji wa meli za mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Hii ni kwa…