JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wananchi Mtaa wa Chimalaa, Ntyuka waiomba Serikali kuwasimamia kulipwa fidia

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma ZAIDI ya Wananchi 152 wa Mitaa ya Chimala na Ntyuka Jijini Dodoma wamelalamikia Wakala wa Barabara nchini (TANROAD )Mkoa wa Dodoma kwa kutolipwa fidia baada ya kupisha ujenzi wa Barabara licha ya Wakala huo,kuwafanyia uthamini tangu Mwaka…

Waziri Gwajima aitikia wito wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima , amefika Ofisi za Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Makao Makuu jijini Dodoma na kukutana na Katibu Mkuu wa…

Ujumbe wa Waziri wa Mambo ya Nje wa India

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Waziri wa Nchi na Mambo ya Nje wa India Mhe.Shri V. Muraeedharan (katikati) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao (kushoto) Balozi wa…

Chalamila uso kwa uso na wananchi Zingiziwa, atatua kero hadi usiku

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila  leo Novemba 20,2023 amefanya Mkutano mkubwa wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Singiziwa-Chanika jijini Dar es Salaam ambapo amesikiliza kero na kuzipatia…

NEC yawataka watendaji kuweka utaratibu mzuri utakaoviwezesha vyama vya siasa na wadau kushiriki

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewataka Watendaji wa Uboreshaji wa Majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara kuweka utaratibu mzuri utakaoviwezesha vyama vya siasa na wadau wengine wa uchaguzi kushiriki…

Wadau wa afya watakiwa kukomesha tatizo la usugu wa vimelea vya dawa

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma WADAU wa afya nchini wametakiwa kuendeleza mapambano dhidi ya tatizo la usugu wa vimelea vya dawa kwa kuongeza uelewa kwenye jamii na kutia hamasa kuhusu usugu wa dawa za binadamu ambao unatishia afya za binadamu duniani…