JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais Samia atoa bil.56- ya miradi ya maji Manyara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka mitatu imetoa shilingi Bilioni 56 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji mijini na vijijini mkoani Manyara ambapo miradi…

Serikali yaiwezesha MSD kusambaza vifaa tiba, dawa Simiyu Simiyu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu BOHARI ya Dawa (MSD), Kanda ya Mwanza kupitia Serikali imeendelea na usambazaji wa bidhaa za afya katika Mkoa wa Simiyu Wilaya ya Itilima, licha ya changamoto zinazosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo na…

Biteko aiagiza TPDC kuandaa mpango wa muda mrefu wa upatikanaji gesi

📌Aitaka pia kukagua ushuru wa huduma unaotolewa kwa Halmashauri Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja na mpango wa…

Naibu Waziri Kikwete afungua mafunzo ya mfumo mpya wa utendajikazi kwa watumishi wa umma Iringa  

Na Lusungu Helela, JamhuriMedia, Iringa  Naibu  Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amefungua mafunzo ya  mfumo mpya wa usimamizi wa utendaji kazi wa mtumishi na taasisi katika utumishi wa umma (PEPMIS…