JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Halmashauri Kuu Pwani yampa maua yake RC Kunenge kwa usimamizi wa ilani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani HALMASHAURI Kuu ya CCM Mkoa wa Pwani, imeridhishwa na usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo unaofanywa na Serikali mkoa ambao umetekelezwa kwa asilimia 98 :”;pamoja na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka trilioni…

Serikali yakabidhi vifaa tiba vya milioni 100/- Kituo cha Afya Magazini Namtumbo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Namtumbo Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi vifaa tiba vya kisasa vya upasuaji kwa Kituo cha Afya cha Magazini kilichopo Kata ya Magazini Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 100….

NMB yazindua programu ya kitaifa ya ugawaji mizinga ya nyuki-Gairo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia BENKI ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500 kwa vikundi 17 vyenye wafugaji zaidi ya 300, katika mikoa ya Morogoro, Tabora na Njombe kwa kushirikiana na Mamlaka ya Uhifadhi wa Misitu Tanzania…

37 wafariki mkanyagano usajili wa wanajeshi Congo

Takribani watu 37 wamefariki katika mkanyagano wakati wa harakati za kuwasajili wanajeshi katika uwanja wa michezo nchini Congo, serikali imesema. Baadhi ya watu walijaribu kupita kwa nguvu kupitia lango la uwanja wa michezo katika mji mkuu, Brazzaville, na kusababisha mkanyagano….

Miroshi awaangukia Watanzania

MSIMAMO wa kundi E lenye timu sita, timu nne zina pointi 3 ikiwemo Tanzania, licha ya kuwa mbele kwa mchezo mmoja dhidi ya Morocco na DR Congo ambao hawana alama yoyote.Baada ya kupoteza leo mabao 2-0 dhidi ya Morocco, Tanzania…

Chongolo : Walipeni madeni, wahisheni malipo ya wakandarasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Daniel Godfrey Chongolo amesema kupitia utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi ya 2020 – 2025, CCM itahakikisha Serikali inaendelea kuweka mazingira bora na kuwajengea uwezo makandarasi na washauri waelekezi…