JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Angalia matokeo darasa la saba 2023

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), leo Novemba 23, 2023 limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13- 14 mwaka huu. Katika matokeo hayo jumla ya watahiniwa 1, 092, 960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1, 356,…

Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Songwe

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Novemba 23, 2023. Wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel. Waziri Mkuu pamoja na viongozi wakipiga makofi baada…

NMB yazindua tawi lake Dumila Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro WANANCHI wa Mji wa Dumila wilaya ya Kilosa wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kati ya kilometa 35 hadi 70 kufuata huduma za kibenki, baada ya benki ya NMB kufungua tawi la NMB Dumila….

Viongozi wa dini msichoke kuwaunganisha watu – Biteko

#Atoa wito kujenga Taifa lenye umoja, upendo na mshikamano Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Doto Biteko amewataka viongozi wa dini kutochoka kuunganisha watu ili kujenga Taifa lenye Umoja, Amani na Mshikamano Mhe….

Majaliwa atembelea maonesho kabla kabla ya kufungua Wiki ya Huduma ya Fedha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kisongo Arusha ambako alifungua  Maadhimisho ya Wiki ya  Huduma ya Fedha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini humo, Novemba 22, 2023. Wa pili kushoto ni Mkuu…

Dkt.Biteko akagua majengo ya Wizara ya Nishati; Sera,Uratibu na Bunge-Mtumba

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Nishati na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) katika Mji wa Serikali-…