Category: Habari Mpya
Wanafunzi shule za St Mary’s wafaulu kwa alama A
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shule za St Mary’s nchini zimeendelea kufanya vizuri kwenye mitihani ya darasa la saba kwa wanafunzi wake kupata wastani wa alama A kwenye matokeo yao. Katika matokeo yaliyotangazwa jana na Baraza la Taifa…
Pinda : Mamlaka za upimaji shirikianeni na Wizara ya Ardhi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imezitaka taasisi zilizopewa mamlaka ya upimaji kuhakikisha zinashirikiana na Wizara ya Ardhi pale zinapokwenda uwandani ili kusaidia kuondoa migogoro inayoweza kuanzishwa kutokana na kutojua uhalisia wa mipaka. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ardhi…
Dk Kisenge : Leteni wagonjwa wa moyo JKCI msiwapeleke nje ya nchi
Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam Madaktari nchini wameombwa kuwapeleka wagonjwa wenye matatizo ya moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu na siyo nje ya nchi kwani Serikali imewekeza vya kutosha katika vifaa tiba…
PPRA,TAMISEMI kuwafunda matumizi ya mfumo NeST
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa ununuzi wa Umma (PPRA)kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (TAMISEMI)wameandaa semina kazi kwa ajili ya kuhakikisha wakurugenzi wanazingatia sheria za manunuzi kupitia Mfumo wa ununuzi wa Umma wa kielektroniki ujulikanao kama NeST…
Wazazi waaswa kujenga ukaribu kwa watoto ili kufichua yanayowakabili
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha WAZAZI na walezi Mkoani Pwani wameaswa kujenga ukaribu kwa watoto wao pamoja na kuwapa haki ya kujieleza pale inapobidi ,ili waweze kufichua Yale ambayo yanawakabili hasa kwenye vitendo vya unyanyasaji wa watoto. Aidha jamii imetakiwa…
Mchatta: Walimu wa kiingereza watakiwa kusambaza ujuzi wa somo hilo kwa wengine
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Katibu tawala wa Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta ametoa wito kwa Walimu wa msingi wa somo la Kiingereza (English) ,kusambaza ujuzi wa somo hilo kwa walimu wenzao katika kipindi hiki ambacho Serikali inatarajia kutekeleza mtaala…