JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wanafunzi Chuo cha Utalii Pasiansi wapata elimu ya usalama wa watalii

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Wanafunzi toka Chuo cha Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi kutoka Mkoani Mwanza leo wamefika Katika kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia Jijini Arusha kwa ajili ya kujifunza namna ambavyo Kituo hicho kinafanya…

NEMC yakemea matumizi vifungashio vya plastiki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekemea vikali matumizi ya vifungashio vya plastiki visivyokidhi viwango ambavyo vimegeuzwa kama mifuko ya kubebea bidhaa sokoni. Hayo yamesemwa leo na Ofisa Mazingira Mwandamizi wa…

Wanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii kushiriki Shindano la kimataifa ‘Hult Prize’ nchini Kenya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wanafunzi watatu kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii ni Miongoni mwa wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali Duniani wanaokutana Jijini Nairobi Nchini Kenya kuwania Tuzo ya ‘Hult’. Wanafunzi hao ni Hellena Sailas, Maria Daudi, na…

Kikosi kazi kuundwa kudhibiti utorishaji madini Songwe

Na Mwanahamisi Msangi, Songwe TUME ya Madini Mkoa wa Songwe imeunda kikosi kazi maalum cha kupambana na kudhibiti utoroshaji wa madini na kusababisha serikali kukosa mapato. Hayo yamesemwa na Afisa Madini Mkazi – Songwe, Chone Malembo wakati akizungumza na waandishi…

TLS yawashauri waandishi wa habari kuandika habari bila woga

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dodoma Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuandika habari zenye mlengo wa hasa au chanya Kwa manufaa ya jamii Ushauri huo umetolewa na Makamu wa Rais wa Tanganyika Law Society ( TLS), Deus Nyabili alipokuwa akifungua mkutano…

Zaidi ya bilioni 80/- zasambaza umeme vijiji mkoani Singida

📌 Kapinga apeleka shangwe za umeme Maswauya na Mdilu Singida Kaskazini 📌 Asema hayo ni matokeo ya uchapakazi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan 📌 Mbunge apongeza Serikali kwa miradi ya maendeleo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Naibu waziri wa Nishati,…