Category: Habari Mpya
Ndalichako afurahishwa na huduma za NSSF Ruvuma kwa kutatua kero za wanachama
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, vijana na wenye Ulemavu Profesa, Joyce Ndalichako ameonesha kufurahishwa na huduma zinazotolewa na mfuko wa Hifadhi za Jamii (NSSF) mkoani Ruvuma kwani ameshuhudia kuona wanachama wanadai…
Dk Biteko akutana na uongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China
CPC yaahidi kuendeleza ushirikiano katika nyanja za Uchumi, Elimu na Masuala ya Kijamii Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedoa, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa…
Watumishi wakutwa na tuhuma za kujibu kwenye kituo cha afya Kabuku
…………………………………………………………….. Watumishi wawili wakutwa na tuhuma za kujibu kwenye kifo cha Bi. Mariam Zahoro mkazi wa Kijiji cha Mumbwi katika Wilaya ya Handeni kilichotokea kwenye Kituo cha Afya Kabuku, Mkoa wa Tanga. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo…
TMDA watoa ufafanuzi wa dawa ya Carbotoux (Carbocistaine+ Promethazine)
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba nchini (TMDA), kupitia kwa Mkurugenzi Mkuu wake, Bw. Adam Fimbo leo Novemba 27,2023 imetolea ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya uwepo wa dawa aina ya Carbotoux (Carbocisteine 100mg + Promethazine…
Serikali imeweka msukumo wa kuimarisha sekta ya mipango – Dk Biteko
Na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeweka msukumo wa pekee wa kuimarisha…